Imewekwa : August 24th, 2023
Katika Kikao kilichofanyika ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kujadili namna ya kufanikisha zoezi la uchangiaji wa Miundombinu ya Elimu Wadau wa Elimu walioshiriki katika kikao hicho ...
Imewekwa : August 8th, 2023
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Ndg. Abdalla Shaib Kaim ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyokaguliwa na Mwenge wa Uhuru mwaka 2023
Akizungumza wakati wa kuzindua Mradi wa Ma...
Imewekwa : August 5th, 2023
Katika Baraza la Madiwani lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Mkuu wa Wilaya ya Muleba Mhe. Dkt Abel Nyamahanga amelipongeza Baraza hilo kwa kuvuka malengo ya makusanyo ya...