Imewekwa : May 26th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Muleba Mhe. Toba Nguvila amezindua rasmi ujenzi wa Hospitali ya wilaya inayojengwa katika eneo la Marahala wilayani Muleba na kuwahimiza mafundi kujenga na kumaliza haraka ndani ya m...
Imewekwa : May 21st, 2022
Katika zoezi la kupambana na uvuvi Haramu Mkuu wa wilaya ya Muleba Mhe. Toba Nguvila pamoja na Kamati ya Usalama wamefanya oparesheni ya kuchoma dhana za uvuvi haramu Katika kata saba wilayani Muleba ...
Imewekwa : May 19th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Muleba Mhe. Toba Nguvila amewaomba wadau wa Kahawa kutoa ushirikiano kupambana na kukomesha utoroshaji wa kahawa kwa njia ya magendo.
Akizungumza katika Mkutano huo Mkuu wa wilaya...