Imewekwa : February 1st, 2022
Katika zoezi la utiaji saini wa mikataba ya wakusanya mapato wa madereva lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Magongo Justus amewasihi waliosai...
Imewekwa : January 24th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Muleba Mhe. Toba Nguvila katika siku ya uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria iliyofanyika katika mahakama ya wilaya amewaomba wanachi wa wilaya ya Muleba kuitumia wiki ya sheria...
Imewekwa : January 22nd, 2022
Katika kikao cha Baraza la Madiwani kujadili mapendekezo ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Mkuu wa wilaya ya Muleba Mhe Toba Nguvila amewahimiza madiwani kwenda kutoa elimu kwa wazazi k...