Imewekwa : June 24th, 2021
Mkuu wa chuo cha VETA Ndolage Eng. Machumu K. Machumu ameomba ushirikiano na uongozi wa Halmashauri
ya Wilaya Muleba kukipa hadhi chuo cha VETA Ndolage kuwa Chuo cha wilaya katika siku ...
Imewekwa : June 24th, 2021
Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya Kaigara Dr. Amlan Kite amewataja wazee kuwa ni miongoni mwa watu
wanaopewa kipaumbele katika kupatiwa huduma bora za afya kwenye siku ya wiki ya utumishi wa ...
Imewekwa : February 17th, 2021
Halmashauri ya wilaya ya Muleba ni miongoni mwa Halmashauri 186 zinazotekeleza sheria ya kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya utoaji wa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya kina mama, v...