Imewekwa : August 11th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba Bw. Elias M. Kayandabila aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mnamo tarehe 01.08.2021 kuwa Mkurugenzi ...
Imewekwa : August 10th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Muleba, Mhe. Toba Nguvila amezindua rasmi kambi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi waliojitolea kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa ikiwa ni mkakati wa kuimari...
Imewekwa : August 10th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Muleba Mh. Toba Nguvila amewasihi viongozi wa wilaya ya Muleba kusimamia ipasavyo na kuhakikisha jamii ya Muleba inaondokana na umaskini na kupata huduma bora ikiwemo elimu na afya.
...