• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya muleba
    • Dira na Dhima
    • Core Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Mali asili
      • Ugavi
      • TEHEMA
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utumishi
      • Fedha
      • Mipango na Uchumi
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo/Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ratiba
  • Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
  • Miradi
    • Itakayo- Tekelezwa
      • Inayo-Endelea
      • Iliyo-Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za ofisini au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Makitaba ya Picha
      • gallery

MKURUGENZI MTENDAJI BW. ELIAS M. KAYANDABILA AKABIDHIWA OFISI RASMI

Imewekwa : August 11th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba Bw. Elias M. Kayandabila aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mnamo tarehe 01.08.2021 kuwa Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Bw. Emmanuel Sherembi  ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe.

Akishuhudia makabidhiano hayo Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba Mhe. Justus Magongo amemshukuru na kumtakia kila la kheri aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bw. Emmanuel Sherembi katika kituo chake kipya cha kazi. Amemsihi mazuri aliyotekeleza Muleba akayaendeleze na wilaya ya Ukerewe. Pia amemkaribisha Mkurugenzi Bw. Elias  M. Kayandabila kuendeleza majukumu ya kuwaletea maendeleo wana Muleba.

Makabidhiano hayo yamefanyika tarehe 11.08.2021 katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji na kushuhudiwa na  Mwenyekiti wa Halmashauri na wakuu wa Idara na Vitengo.

Aidha baada ya kukabidhi ofisi Bw. Emmanuel Sherembi amemshukuru Mwenyekiti wa Halmashauri kwa niaba ya madiwani wote na watendaji kwa ushirikiano waliompa kipindi chote cha utekelezaji wa majukumu yake akiwa wilayani Muleba.

Naye Mkurugenzi Mtendaji Bw. Elias Kayandabila ameomba apewe ushirikiano kama ambao alikuwa akipewa Mkurugenzi anayeondoka ili kuendeleza pale alipoishia kwa manufaa ya kuwaletea maendeleo wana Muleba.

Bw. Elias Kayandabila ni Mkurugenzi wa 11 tangu kuanzishwa kwa Halmashauri ya wilaya ya Muleba mnamo mwaka 1982.


Matangazo ya kawaida

  • TANGAZO LA KARANTINI YA UGONJWA WA HOMA YA NGURUWE February 19, 2021
  • TANGAZO LA RUZUKU KUTOKA SERIKALI MKUU November 21, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MUDA March 04, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA March 23, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • KAMATI YA MAJI YAAGIZWA KUWEKA ULINZI KWENYE VYANZO VYA MAJI

    August 19, 2021
  • SAMAKI WALIOVULIWA CHINI YA KIWANGO WAKAMATWA

    August 13, 2021
  • WALIMU WATAKIWA KUONGEZA KIWANGO CHA UFAURU

    August 12, 2021
  • MKURUGENZI MTENDAJI BW. ELIAS M. KAYANDABILA AKABIDHIWA OFISI RASMI

    August 11, 2021
  • Angalia zote

Video

Hotuba ya jana ya Rais akiwa nchini Kampala
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ajira
  • Kagera
  • Immigration

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais- UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kagabiro

    Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera

    Simu: +255 (28) 222-4013

    Simu: +255-756-350-183

    Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz

Mawasiliano mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa