• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya muleba
    • Dira na Dhima
    • Core Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Mali asili
      • Ugavi
      • TEHEMA
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utumishi
      • Fedha
      • Mipango na Uchumi
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo/Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ratiba
  • Madiwani
    • Ratiba
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Vikao vya Mhe.Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
  • Miradi
    • Itakayo- Tekelezwa
      • Inayo-Endelea
      • Iliyo-Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za ofisini au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Makitaba ya Picha
      • gallery

HALMASHAURI YA MULEBA YASAINI MKATABA WA UJENZI WA SOKO LA KISASA

Imewekwa : January 22nd, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera leo Januari 22,2024 imesaini Mkataba wa ujenzi wa jengo la kisasa la biashara eneo la soko kuu la Muleba na Mkandarasi wa kampuni ya ujenzi ya Intergo Campany Limited wenye thamani ya shilingi bilioni 1.7

Akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo hilo la kisasa Mkurungezi Mtendaji wa Halmashauri,Ndugu Isaya Mbenje amesema kuwa ujenzi wa jengo hilo katika eneo la soko kuu umetokana na bajeti ya makusanyo ya mapato  ya ndani.

Ndugu Mbenje, amesema utekelezaji wa mradi huo utatoa fursa za ajira kwa wazawa wa wilaya ya Muleba na kuwasaidia kujikwamua kiuchumi sambamba na kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato katika halmashauri.

Aidha,Ndugu Mbenje ameongeza kuwa ujenzi wa soko hilo unatarajiwa kufanyika  kwa muda wa miezi sita kuanzia Januari 24 hadi Julai 25 Mwaka huu ambapo Mkandarasi atatakiwa kukabidhi jengo likiwa tayari limekamilika kwa mujibu wa mkataba ambao umesainiwa.

Akihutubia wananchi Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe Magongo Justus amemtaka mkandarasi anayejenga jengo hilo kuhakikisha anafanya kazi kwa kuzingatia makubaliano ya mkataba ili mradi huo uweze kukamilika kwa wakati.

Aidha ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Muleba pamoja na wafanyabiashara kutoa ushirikiano ili kuleta matokeo chanya na kuwahakikishia wafanyabishara kuwa uongonzi utaandaa mpango kazi ambao utatolewa mapema lengo ikiwa ni kutoa taarifa ili waweze kupisha ujenzi wa mradi huo.

“Mpango kazi utandaliwa mapema sana na mtapewa taarifa ili muweze kupisha mradi na mradi utakapo kamilika wafanyabishara wote watarudi katika maeneo yao na kuendelea na majukumu yao kama ilivyokuwa awali katika mazingira rafiki”,amesema.

Mradi huo utajengwa kwa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza litajengwa jengo la mbele la ghorofa lenye vyumba 84 na awamu ya pili litajengwa jengo lisilo na ghorofa la vyumba 96 na mradi mzima wa soko la kisasa utakuwa umekamilika kwa kiasi cha Shilingi Bilioni 3.5.

Matangazo ya kawaida

  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MSAIDIZI WA HESABU NAFASI MOJA November 22, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA NAFASI YA MTENDAJI WA KIJIJI III NAFASI SABA November 22, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA 17-06-2025 June 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA 07-05-2025 May 07, 2025
  • Angalia zote

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA MULEBA YASAINI MKATABA WA UJENZI WA SOKO LA KISASA

    January 22, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA KWA KISHINDO TAARIFA ZA HESABU ZA MWISHO ZA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.

    September 24, 2024
  • MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BIL 8.1 WILAYANI MULEBA YATEMBELEWA NA KUKAGULIWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU,2024.

    September 29, 2024
  • MWENGE WA UHURU MKOA WA KAGERA 2024 WAHITIMISHA MBIO ZAKE KATIKA HALAMASHAURI YA MULEBA

    September 30, 2024
  • Angalia zote

Video

Hotuba ya jana ya Rais akiwa nchini Kampala
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ajira
  • Kagera
  • Immigration

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais- UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kagabiro

    Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera

    Simu: +255 (28) 222-4013

    Simu:

    Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz

Mawasiliano mengineyo

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa