Katika Kikao kilichofanyika ndani ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kujadili namna ya kufanikisha zoezi la uchangiaji wa Miundombinu ya Elimu Wadau wa Elimu walioshiriki katika kikao hicho wamekubaliana kutoa ushirikianno ili kuweza kufanikisha zoezi hilo.
Baadhi ya Wadau wa Elimu walioshiriki katika kiakao hicho wameonesha nia ya ufanikishaji wa zoezi hilo kwa kutoa michango mbalimbali kwa leongo la kufanikisha zoezi hilo.
Makadilio ya jumla ya fedha inayotakiwa ni kiasi cha Tsh. Bilioni 250.7 ambapo kwa upande wa Elimu Sekondari kinahitajika kiasi cha Tsh. Bilioni 86.02 na kwa upande wa elimu Msingi kinahitajika kiasi cha Tsh. Bilioni 164.7
Imetolewa na:
Kitengo cha Habari na Mawasiliano,
Halmashauri ya Wilaya ya Muleba.
Kagabiro
Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera
Simu: +255 (28) 222-4013
Simu:
Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz
Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa