Friday 6th, December 2024
@ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
Kamanda wa TAKUKURU (W) Ndg.Said Lipunjaje akitoa mada kwa Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ngazi ya Kata na Vijiji ili kutokujihusisha na masuala ya Rushwa wakati wote wa mchakato wa Uchaguzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba,Ndugu Emmanuel Sherembi Msimamizi wa Uchaguzi wa serikali za Mitaa Wilaya ya Muleba,Essery Pima na Afisa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba Ndg Shaban Manyama kwa kushirikiana na Katibu Tawala Wilaya. SI Benjamini Mwikasyege na Kamanda wa TAKUKURU (W)Ndugu Said Lipunjaje wakitoa maelekezo kwa Wasimamizi wasaidizi ngazi ya kata na vijiji kuhusu taratibu,kanuni na sheria za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mapema Novemba 24/11/2019 .
Kagabiro
Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera
Simu: +255 (28) 222-4013
Simu:
Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz
Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa