i. Eneo liwe limepangwa
ii. Kiwanja kiwe kimepimwa na kupewa namba
iii. Kiwanja kiwe kinalipiwa
iv. Ofisi ya ardhi itatoa gharama za hati milki
v. Ofisi ya ardhi itaandaa rasmu ya hati na kuisainiwa na afisa ardhi mteule wa wilaya.
vi. Rasmu itapelekwa ofisi za kanda kwa ajili ya kupitishwa na kusajiriwa
vii. Kama mchakato umeenda vizuri hati inaweza kupatikana ndani ya mwezi mmoja
Kagabiro
Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera
Simu: +255 (28) 222-4013
Simu: 0744644702
Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz
Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa