UTARATIBU WA UHAMISHO KWA MWANAFUNZI KUTOKA SHULE MOJA KWENDA NYINGINE;
Uhamisho wa mwanafunzi wa kuhama kutoka shule moja kwenda nyingine upo katika makundi mawili, kuna uhamisho wa wa ndanina uhamisho wa nje.
NB/ Katika kupitisha fomu za uhamisho kwa aina zote hizo za uhamisho (ndani nan je) mhusika anatakiwa aanzie ngazi ya chini kuelekea ngazi ya juu kwakuwa ngazi ya juu ndiyo inayoidhinisha mwisho. Hivo, mwombaji anatakiwa kuzingatia taratibu zilizowekwa.
<
Kagabiro
Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera
Simu: +255 (28) 222-4013
Simu: 0744644702
Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz
Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa