• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za wafanyakazi |
Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya muleba
    • Dira na Dhima
    • Core Values
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara/Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Mali asili
      • Ugavi
      • TEHEMA
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Utumishi
      • Fedha
      • Mipango na Uchumi
      • Maji
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo/Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ratiba
  • Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
  • Miradi
    • Itakayo- Tekelezwa
      • Inayo-Endelea
      • Iliyo-Kamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za ofisini au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Makitaba ya Picha

Kuhamisha mwanafunzi wa sekondari

UTARATIBU WA UHAMISHO KWA MWANAFUNZI KUTOKA SHULE MOJA KWENDA NYINGINE;

Uhamisho wa mwanafunzi wa kuhama kutoka shule moja kwenda nyingine upo katika makundi mawili, kuna uhamisho wa wa ndanina uhamisho wa nje.

  1. Uhamisho wa ndani; huu ni uhamisho ambao mwanafunzi anahama kutoka shule moja kwenda shule nyingine lakini ndani ya Halmashauri. Katika uhamisho huu, mwanafunzi au mzazi anatakiwa kuandika barua kwa Mkurugenzi wa Halmashauri , barua hiyo itapitia shule aendayo mwanafunzi kasha kwa mkuu wa shule anakotoka.Baada ya utaratibu huo kukamilika mzazi/mlezi/mwanafunzi atapatiwa kibali cha kuruhusiwa kuhamia shule aliyoomba kuhamia.
  2. Uhamisho wa nje; huu ni uhamisho wa mwanafunzi kutoka nje ya Halmshauri/wilaya au nje ya Mkoa anakosomea mwanafunzi. Uhamisho huu anayetoa kibali cha kuhama ni Katibu Tawala Mkoa (ofisi ya Afisaelimu Mkoa). Katika uhamisho huu, Mzazi anamwandikia barua Katibu Tawala Mkoa (ofisi ya Elimu Mkoa), inapitia kwa Mkurugenzi (Afisaelimu) anakotoka,itapitia kwa Aifaelimu anakokwenda, itapitia kwa Mkuu wa shule anakokwenda kasha kwa Mkuu wa shule anakotoka. Baada ya kukamilisha taratibu husika , Mzazi/Mlezi/Mwanafunzi ataidhinishwa kuhama na Ngazi ya mkoa baada ya taratibu zote hizo kukamilika.

NB/ Katika kupitisha fomu za uhamisho kwa aina zote hizo za uhamisho  (ndani nan je) mhusika anatakiwa aanzie ngazi ya chini kuelekea ngazi ya juu kwakuwa ngazi ya juu ndiyo inayoidhinisha mwisho. Hivo, mwombaji anatakiwa kuzingatia taratibu zilizowekwa.

<

Matangazo ya kawaida

  • Mbio za Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Muleba Mwaka 2018 April 04, 2018
  • Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani March 14, 2018
  • Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani March 05, 2018
  • Mkutano wa Baraza la Madiwani February 05, 2018
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Maadhimisho ya wiki ya Maji wilayani Muleba

    March 17, 2018
  • "Mwanamke ni Nguvu Kubwa"

    March 09, 2018
  • Naibu Waziri Ahamasisha Wananchi Kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya

    February 23, 2018
  • Uzinduzi wa Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Kagera

    February 13, 2018
  • Angalia zote

Video

Hotuba ya jana ya Rais akiwa nchini Kampala
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Ajira
  • Kagera
  • Immigration

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Ofisi ya Rais- UTUMISHI
  • Idara ya Habari Maelezo

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Kagabiro

    Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera

    Simu: +255 (28) 222-4013

    Simu: +255-756-350-183

    Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz

Mawasiliano mengineyo

   

Waliotembelea

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa