Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri anawatangazia wananchi wote kuwa Mkutano wa Baraza la Madiwani, robo ya pili Octoba--Desemba 2018/2019 utafanyika tarehe 09/02/2019 kuanzia saaa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Muleba. Nyote Mnakaribishwa
Kagabiro
Sanduku la Barua: 131 Muleba, Kagera
Simu: +255 (28) 222-4013
Simu: +255-756-350-183
Barua Pepe: ded@mulebadc.go.tz
Hakimilki@2017 Haki zote zimehifadhiwa